Am Here For You

Buda alipass na masa ni msick
Life mara kadhaa imembreak
But bado ako strong hayuko weak. 

Ni dem
But tegemeo home
That's why the only asset shamba 
Iliuzwaa ili aende chuo
Sazingine yeye hukuwa desperate akilack food na wengine wanacomplain hawana nguo

Life ya campus
Inamake situation worse
Bills kibao si food si rent
Mum ni msick pia kuna hospital bills na ako na mabro pia so amebaki ka the parent

Girl yenye unapitia
Ni situation tricky sana na yenye wengine hupitia
Am here for you so tulia
Relax God atafungua  Njia
Na uko na mimi pia
Nitakusupport
Wote
Tutaput in effort
Nabelieve kuna things tutasort

So believe
Once upon a time tuta achieve 

Destiny au fate
Have faith 
Currently things zinaezaa kuwa si straight
But pray and wait

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Mastering Submersion

Princess