Mum Tuma Fare
Mum Tuma fare
Yenyewe huku maisha haiko fair
Nishavunjwaa moyo na kina fai na Claire
So please ka una care
Na sai na hofia
....
Nahofia G. S. U watanivunjaa miguu nikose kutembea
So Mum
mum please ka una care
Tuma fare...
Doo yenye last time ulinitumia
Walai
Nilishatumia
Hakuna aja nikichoche
Nilitumia dem fulani fare
Nilithani we we're a pair
But venye alikula hio fare
Haikuwa fair
So you are the only woman i know that care
I need to calm down so wacha nikaam home kutulia
Naumwa na kichwa na dawa zenye ziko huku zisha expire
Na zenye ziko tu ni za kulevya na ulinikanya nisiwai tumia.
@ *Squishypoet*
Comments
Post a Comment