Xenophobia A Disease

Peace absent
Social injustice present
Ka kwenyu ka hutaki hulipa rent
But apparent

Current
Africa imepata a new landlord
Dunia inaishaa God
Jesus anakaam when juu sai kuna wengi wanajiita lord.

Company zinatakaa kugrow
River iko killed out ata fish haziflow
Reason
Bonga kuihusu na Bila kufika koti utafanyiwaa treason.

Damu ni nzito kuliko maji
But kuna watu in the family wako na Utiaji
Tulikuwa mabeste but sai tushashika Grudge
Wewe ni mblack but usipospeak my language,
Kuna design nitakugauge

Nyama Nyama
Huyo Leta tire kuna mtu tunataka Kuchoma
Za wanyama,
Si tamu.
Binadamu yake si rahisi
I think ni ngumu
But mkuki kwa nguruwe....
Uuuwa yeye wanafanya maisha yetu isikuwe tamu

Unyama
Malawama
Tmegrow wasee lakini tunarepeat things zilihappen hapo Nyuma
Hakuna cha Huruma
Kila mtu a focus on yeye usitegemee Huduma
Kuiba bado kuna wenye wanapanga hio Njama.

Africa
Wazungu wanatucheka
Wachina bado wanatuteka

Missionary gospel ndio vako tunataka
Tmekaam kuchange watu our aim ni watu kuokoka
But kuna things tuliwaficha ka things tutagain
Na venye mtapitia pain

Don't blame it on us mko na leader
Na nyinyi ndio mlichagua so ni vipi hamkujua that hao pia ni more greader

@ *SquishyPoet*


On Wed, Sep 4, 2019, 5:56 PM farm soko <farmsoko@gmail.com> wrote:
Maisha ilikuwa ngumu
Akaamua aonje sumu
So ameletwa na watu wajuwa uhai wake ni wa muhimu. 

Sleeping on the emergency room
Mother is tensed na mzae amefume
Mbona alikunywaa doom

Doctor ametry his best
But mtoi aliamua his fate
Down six feet
There is where he wants to rest. 

Ooh no 
He is no more 
Depression ilimishikaa na the people wenye walikuwaa wanampenda didn't know

Baadaye tutaonana
Pitisha Salamu kwa Maulana. 

That was the last word 
Of his father
He couldn't say anything further 

Mama
Alishikwaa na kilio ungemuona
Ungemuone Huruma

Mbona kijana uliamua kuenda mapema
Tembea tu na neema

Words zake zilipoisha
Hakupoteza maneno tu Bali maisha

Top headlines wasn't that depression once kill
They even skipped to mention the hospital bill
Which has makes the father have sickness 
Depression and stress

The newsreporter said
A foolish kid
Smoked weed
Got himself killed
Kisa kwingeneko chaa mada
Son dead
Mother, 
On tears and chokes gets murdered. 

@ *Squishypoet*

On Wed, Sep 4, 2019, 4:39 PM farm soko <farmsoko@gmail.com> wrote:
Action
Corruption 
Nairobi River pollution 
Moneyheist Masai mara kuna watu na more ambition
2022 mnikumbuke 
Na pia tukiiba msishutuke. 

Huyu tushamzoea
Content yetu ilishapotea
Kuna wenye wataimba matope na bado watabobea

Wewe ni msanii? 
Si una utani
Nani
Aliyekulaani?

Meme
Wacha zikaam
Unataka kupitisha message Cheza na fan
After all 
Kuna wenye wanacontoll. 

Hii ni mbichi
Funika uchi
Band
Banua
Kijana fulani amekua
Asanta kwa kupumua 
Daily mzidi kumipigiaa dua
Mistari atazipost za kishua
Msupport ka unamjua
Na akionekaniwa ata kusahau
Hio ni kitu sure. 

@ *Squishypoet*

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess