Ukienda Rome Cheza ki roman

Ukienda Rome Cheza ki roman
In case ufikee pia Kingston 
Fwata sheria ya Babylon 
Wakitupa mawe pia wewe stone 
Na usiwai peleka kiherere in others people's zone

Kidole kimoja haziwezi huwa
Ata chawa
Usiwai chezaa alone
Ata kama ni kuhave fan

So one plus one is equal to two
Me and you
Hesabu ya plus hujazwaa na watu true
Sazingine ukiniambia you love me
Huwa nashindwaa kureply with me too
But ukiwa honest to me nitakuwa loyal tuu
I mean support kenye nadoo
Na wewe pia nitakurank juu

But kumbuka kufanya your best
Juu watu wengii hucopy paste
So tufocus venye tutakuwa unique from the rest
Ukipitia your worst
Kumbuka kuna mtu pia hio stage aligo through
Au kuna mwenye anapitia alot more. 

So Arrif
Mimi na wewe tuko pamoja tarrif
Ni uplift
Nikujenge na wote tutamake hii life sweet

@ *SquishyPoet*

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess