Time

Time has moved on
It made us smile sometimes we also moan
Some we're part of us but now they already gown
He was once rich sai anaomba loan
...... 
......... 
.............
Am insecure with it
Am trying to fit
Taste your flavors maybe I will make it sweet
.... 
..... 
...,.... 
Hello can we be friends...,? 
Yeah am good
But am afraid
To open up i don't want you seeing my nude

Gentle mpaka sangapi msee mimi napendaa food
Jooh uhumblennes sazingine hututokaa si ni wa rude

So am sorry for now I won't  show you that
Usichochwe sanaa na romance nitakubreak hurt

Nipe time
Tutujuana beyond hizi rhyme
Namake sensee
Usichochwe sana sina intelligence 

Na try kumake thinks zimove on so siz ukivunjwaa si full stop wewe commence
Wewe ni somebody future sa sahau huyo past tense

Nahata tukeze babligan
Nani anakumbuka zile henzi za carton
Hakuna kucheza bano tena 
Juu nishakuwa a man
Baaana
Msee unakumbukaaa duf mpararo
Joo na si time kamesongaa sikuizi wasee ni maparo. 

Time 
Will go and still come
People will pay for their crime
Africa will also rise
The way in the west
They set
I bet
Yenye iko majuu pia sisi tutaget
Pia sisi tutainvet
Madinga na majet
So mwafrica jimotivate

Huyoko mbaya utagrow with time
Pia wewe unaeza rhyme
Muda tu pia wewe utasikika 
Jina yako ita sifikaa
Jipe time pia wewe utatajirika👊🏾

# *BeatandPulseEntertainment*
@ *SquishyPoet*

Comments

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess