Modern Corruption

Action
Corruption 
Nairobi River pollution 
Moneyheist Masai mara kuna watu na more ambition
2022 mnikumbuke 
Na pia tukiiba msishutuke. 

Huyu tushamzoea
Content yetu ilishapotea
Kuna wenye wataimba matope na bado watabobea

Wewe ni msanii? 
Si una utani
Nani
Aliyekulaani?

Meme
Wacha zikaam
Unataka kupitisha message Cheza na fan
After all 
Kuna wenye wanacontoll. 

Hii ni mbichi
Funika uchi
Band
Banua
Kijana fulani amekua
Asanta kwa kupumua 
Daily mzidi kumipigiaa dua
Mistari atazipost za kishua
Msupport ka unamjua
Na akionekaniwa ata kusahau
Hio ni kitu sure. 

@ *Squishypoet*

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess