Chain - Morning rise with two blunts

Morning rise with two blunts
Party all night trying to make a hit
And satisfy our daily wants

Chain ni ya mtu nne
Boy girl dem.. Masaa ni past sa nane
Kindukulu tupeleke outside the globe wacha Tujuane.

Jina ni Squishy
Sikuwangi na ubishi
God ni mtrue anamake sure navaa na kudishi 
Mimi ni artist
Bado tu sijapatana na my best
Dreams ni kutesaa mpaka to  the west

Naitwa joy
But sina raha
Na yenye nafanya 
Ni haya
Lakini niko na bills ya kusort
Napitia alot 
Its just but of the circumstances I got. 

Right corner 
Ni loner
Pia yeye ni stoner 
So Siko aloner

Life yake pia trick
Amakesha siku za wiki
Kucheza na kina Dicky 
But anapenda licky
Ana balance ka ile ngoma ya Nyashisnki 
Ndio a feed ndugu yake Ricky 

Unadai shot? 
Niko na bills ya kusort
Brathaa yangu ako chuo 
Na masa hana nguo


Rieng
Tuko hapa gang gang
Natunajua hii life si long
So sorry kama ni Mku wrong 
Ka utanipa show yako alafu ni prelong
Au labda nikose kunisikizaa nisikizee Abujubuju my favorite song. 

nachezaa tu ki me
Tricky kupiga show za free
Labdaa ka tuna agree
Najaribu kuishi life venye inafaa
Pia mimi niko na someone to care na sitaki in future alale njaa

Nimechoka kuambiwa nitaendaa faa
Ni time nipige sunpaper my star
So nasaka show
Kuna kitu niko capable of Nataka kuwashoo
Najituma my best pole pia ka nitawaboo. 

Kwa sisi wote hakuna mholy
Ata tajiri
Anajua kifo ni ngorii 
Kila mtu na his story


@ *SquishyPoet*

Comments

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess