Carolina

Kwa majina 
Unaeza muita Carolina
Na ukimpenda sana muite mwangi 
Thao inafwanana na yake rangi. 

Kiongozi. 
Sazingine yeye hukuwa ka mwokozi
Hatukupatana na yeye juzii
Nimemuona maraa kadhaa
Na sazingine nimempicture akiwa mother 
Na beautiful kids na mimi nikiwa their father. 

Ni msupaa
Figure yake design ya chupa
Kumkatia sijawai kuwa na pupa
But 
Angejua 
Design yeye ni maua
Na urembo wake wakishua
Venye Huwaa inaniuwaa
Labdaa
Nikimpata naeza achana na mashada
Na pamoja tuunde Ibada. 

Nikimaliza 
Hope sai unajuwa venye umeweza
Na kaa nimekosaa si mind pingu za maisha instead of kwa gerezaa


@ *SquishyPoet*

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess