Welcome First Year(Fresher)
Fresher karibu upperclass
decision huku zinalay on your hands it's either you make your life better au more worse
Huku hakuna kalongolo ya kuandikiana mabarua huku ni Husband's and wife
Na mess with someone hutundungwa knife
Zii huku ni kukatana mashoka
Shikilia Imani juu ni kutricky pia Kwa wale wameokoka
Sazingine watu hupotoka
Fresher fresha
Yenyewe huku kunakuparty kuna MaBASH
Cocktails nayo ni kibao na MaSHaSH
Yenyewe huku watu huzima kuwaa carefully Usizime cha kabisaa
Huku watu husota Nani Jua venye utamantain Your Cash
Huku watu wakimbii ovyoovyo ati kuenda Class...
aaaha wakikimbia ni teargas
Huyo ni mwizi anakimbizana na life na watu wanakimbiza yake
Uhai
Wakikimbia ni karau anataka kuwashika juu wanachoma ngwai
Huku nikutricky walai......
Fresher fresha
Huku watu wako insecure wanaongopa kupashwaa
Huku unaitaji more intelligence bure utaoshwa
Fresher fresher huku nguo hubadilishwa daily si baada ya wiki..
Unga muhimu mboga ni Ku Sukuma wiki
Fanya yenye imekuleta huku life do this bure life itakupeleka Ka pikipiki uliza MTU wa nduthis
Fresha fresha huku watu hu go far
Ka Una talanta ni huku ndio utakuwa Superstar
Biashara pia huku watu hufanya wengi washanunua ma car
Siasa pia iko huku Ka unataka kuwa politician
Yes you can
Hapa kuna ma best Actor
Watu hu act maisha si yao
Ukitaka kujuwa their true colours enda makwao
Fresher fresher
Huku enyewe watu wako na jokes
Chunga usiache masomo ukakuwa comedian
Lakini pia inaweza .. chekii Kevin titi akituchekesha Churchill
Kanisa huku ni kibao chagua moja kuna zone ya waisalamu wakafiri na church zingine Kwa hill
God tnajua ni mmoja still
So fresha huku inabidi kuomba
Ukisota Nani Omba
Watu huku hudedi so unaitaji God Nani huku Omba.
Hatukatai wewe ni Genius ulipita cluster point but huku kuna missing mark Nani nasema Omba
Portal hushuka fresher Omba.
*squish_clint*
Comments
Post a Comment