Ukiwa na pesa utawatesa
Kuwa na pesa
N'a utawatesa
Utashika hizo rasa
Walaii Utafanya anasa
Ujasikia pesa sabuni ya roho
So isake alafu uwapate wote wakubwa kwa wadogo allsoaps. Kuwa na mapenzi
Na utajuwaa kwa Nini ni kikohozi
Utajuwaa kwa nini ni nomino tena kitenzi
Ni nomino Walaii ukipata mtrue atakupenda
Ni kitenzi
Watajifanya ni wapenzi
Wakuchizishe kishenzi alafu wakakutenda
Mapenzi ni tamu but sazingine blanda
Ujasikia ilifanya mluhya akacheat kuku
Sikuizi anaslide na mrenda
Sababu ya kumpenda Brenda
So ni two way traffic
Pesa ni ugonjwa na love ni blind
Chungaa usifall sick
Kuna wakupenda stick
Na wakustic
Hii exam ina choices but ni mbili
A na B
A for Apple
Walaii kuna matunda
Matunda itakuhelp mgrow inlife mproduce tu matunda
Atafanya mkuwe successful ata mkafanikiwa ku nunua shamba Kitale place pa matunda
A is for Aim
Watakuwaaa na wewe kwa shidaa na Rahaa higher watakusaidia ku Aim
Watakupenda ata ukiwa lame
Watawai kublame
They won't put you to shame
They will appreciate your game
B for bic
Bic ni kalamu watakuchora
Watakusorora
Trust me hawa ni wakora
B is for beak
Beak ni za ndege but sanasana chiraku
Beak ni mdomo tu
Watakubreak
Hawa hubonga tu mob
Watukutowanyisha tu Ma Bob
So Hii ni highway take caution
Ka ni wa for money keep left
Hio ndio sheria ya barabara Kenya so stick to your lane in this direction
Juu hawa wata dose na wewe siku kadhaa alafu kidogo kidogo utasikia bae Niko na ball ntumie thao kadhaa nfanye abortion
Kwa Hii journey usiwai tarmac
Ukitarmac kumbuka kuna marram Huko huwezi kosaa free ride
Huku Hakuna rules au lane
Simamisha mmoja na utapata ride na usifikirie hawana pride
Walaii hawa ni queens mtabuild empire na mtafly kwa private plain
Uzuri ya private plane ikianguka mtakufa wawili Kama mnajipilot so achana na Boeing
Watakubore
Tafuta private jet at your fate alafu mjenge destiny
Ndio uishi kwa amani
So am ending my piece
With one advice search for your right piece
Mwenye mtakuwa na pillow fights but in he
Comments
Post a Comment