Too Ghetto
Am Ghetto
Sijui maana ya kuwa bankrupt but naelewa what it means MTU akisema ako MSOTO
Huku what wamebank Kwa ideas huku ndio kumejaa mingi NDOTO
Huku ndio watoto huzaa WATOTO
Mababa zetu wayuko recognised but hao ndio wamejenga hii taifa na hard labour but si ata nyinyi mnajuwa mshara ya mjengo less but Kazi ngumu ya kpasua KOKOTO.
Na usiulize ni wapi the little amount waliget walipeleka walihakikisha tusilale njaa na zingine Mhindi aliwaibia Kwa kuwachocha wacheze LOTTO
MIMI ni MGHETTO
siitaji dredii ndio ujuwe Mimi ni MRASTAR
ni venye kanisani kuna good news nasitaki kufukuzwa na PASTOR
Forever GHETTO
Sabuni zetu ni Jamaa bacteria zetu zikuwa zimelalisha so ni ngumu walai Mimi kukuchapia bei Ya DETTOL
Akili ni nywele ukiona Mrasta mtaana si hujuwa huyo ni wise ni amejaa wisdom but karau huthink OTHERWISE
Sisi wa true huwezi tuchocha na LIES
Tshazoea sereikali kutuibia,kutunyonya,kutuuma huku walai kumejaa ma LICE
Mimi ni MGHETTO
Walai huku TumeSOMA
Pita ukijifanya tajiri Sana na bado tuta KuSOMA
but Sisi still wezi HUCHOMA
So wakikohoa Sana jua nikuenda wanaenda hio si HOMA
Huku walai TumeSOMA
Life experiences ndio LECTURE'S na hizi SLUMS
Ndio our class
Na hizi exams ni easy but wajinga ndio brave juu ma GENIUS huku HUPASS
Mimi ni MGHETTO
Huku bacteria zimespread kila mtaa hao ndio masuper star ujaisikia kina VIRUSI MBAYA
Si uongo huku watu hufanya prosititution na thug for survival so ni survival for the fittest so usiwajudge useme ATI ata hawana HAYA
Huku life ni HEKAYA
Am GHETTO
Leaders wangu ni wa Ghetto pia but tangu wapate Kura ni RUNDA ndi anapigia KAMBI
Wengine politics imekuwa ball design Wako na KiTAMBI
Haya tushazoea ata pastor wetu wengine ndio waongozi wa watenda DHAMBI
Hatuwezi bonga hizi story juu huku ukiwa na kiherere jooh RHAMBIRHAMBI.
Mimi ni MGHETTO
Niko proud na yetu MTAA
Sisi ndio huproduce ma SUPERSTAR
Huku watu wanajipenda design hao huVaa uta waita SIR
Huku watu hukeep time Sisi hucheza na MASAA
*SQUISH-CLINT*
Comments
Post a Comment