Story yangu si touching,

Story yangu si touching,

Pic pocket
Nacheki clearly  what is in your pocket
Nacheza namfuko yako ya jacket
Juu mwishowe najuwa wote tutawekwa kwa casket
Before that nadai  kushoot ka rocket
Kabla nikick the backet

Sorry
Nikikugonga
Pia mimi mbele najaribu kusonga
Nitoke ghetto niende ronga

Me my lyf ilistart
Kama form ya art
Most of tum nilikuwa na lose heart
Juu things zilikua zinafall apart
Pic pocket ikakuwa shortcut

Whenever i saw someone smart
In a good trouser and shirt
Lazima tungemake contact
Trick ikua nikikupita
Si lazima nikupige tisa
Sikujali Kama ni ndani ya misa
So unaeza imagine venye waliona Giza
But us u know siku hua harubaini
Day yangu ilifika
Morning  on a Tuesday nilitambua
Pesa ni maua
Na mazoea yanaua

Comments

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess