She is beautiful

She is beautiful
She drives me crazy though i don't want to be a fool
I cant deny 
My heart iko so fixed ni yeye
My brain ina plan our future
And my hand can't rest 
Trying to look for her the best
Coz we need a good life
To me she will be a queen more than a wife
My routine still the same to save for the future
Sitaki tulale bila kupitia bucha
My hard work ndio itafanya upake rangi izo kucha
Balance diet lazma ikue 
Kama ka ugali na sucha

 hii life si fair
Ni ukweli na care 
Nastaki kuwa player 
Si mi peeke ndakua bread winner ndakua soja the same time me ndio baba

My wife to be ,me si work hard.
As you spend your lavish life kwa maclub
Kuomba lift kwa macab 
Zii mrembo changamka
Acha kukulia wanaume vako
Akuna kitu tamu kama jasho yako 

Ya watu tema 
Kila msee anagame yake
Ndio maana wengine wanono wengine wakondi
Kikuyu mjaluo
Pia thinking capacity
Kuna wengi haiko kwa capacity

So my future wife nipende vile me niko juu kesho tukismile 
kuna friends watakustill wanatafuta si watoto
Bali sponser na doo
Na juu tym ina matter,
Its a matter of tym 
Wajipataa menopause
Bila meno wadai wamerogwa na ilhali waliweast all in tym 

My wife take caution
#matadaha

Comments

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess