Mama Shiro
Mama shiro
Mtoto wako biro
Jana murder she wrote
Ilibidi mama pima aongeze ma tot
But still nimeamka na hang over and your daughter
Is still in my taught
Kabarikiwa walai ni mhot
Nilikuwaa natafutaa WiFi na wamenisho show kwako ndio kuna hotspot
Mama shiro
Yenyewe mtoto wako ni hero
Design jana alinisave namba
Figure yake iko sambamba
Ni wengi kweli ametubamba
Mbele utadhani mkikuyu nyuma yake itakuconfuse useme ni mkamba
Ngozi yake tamu kila mahali unaeza mlamba
Nasikia yeye hukuwa player Mwambie pia mimi naeza sakata dimba
Striker bao za kishua hawezi kosa kupata mimba
Mama shiro
Nimekaam clean ndio ukiniona na yeye usinilaumu
Sina makosa tafathali usinihukumu
Chakula cha mwanao kitamu mapocho pocho rojo si dania royco na saumu
Bila kusahau anayo elimu
Yenyewe kwake ukinikazia nitameza ndimu.
Lakini pia wewe unafaa uingizee baridi
Mtoto wako anagrow speedy
Na usipichunga utapoteza waridi
Si uongo tuko wengi tnamuangazia na wenginee ni magaidi
Mafisi na ma greedy
Na usipochunga watampea tu ukedi
Na atadedi
Napenda that is why kukaam kwako imebidi
Si unaona jinsi niko na bidii.
Mahari aita kuwa ngumu
Unavyo jua mimi si kijana tu wa humuhumu
Sijui ka unafununu mara kadhaa nimeonekana kwa tv
Sina hio tv but ndani nimejenga CV
Sikatai mtoto wako yenyewe ni wa ajabu
Nikikohoa anaitika ako na adhabu
Walai yeye ni dhahabu
But pia mimi kwake prophesor daktari wa mapenzi daily namtibu.
Sana kakitu sai but si naeza muborrow
Juu ata nilishampenda jana leo na tomorrow
Sauti yake nyororo
Kifunguo cha mashidaa na minyororo
Suluhisho la langu migogoro
Niichie tu mama shiro.
@ *SquishyPoet*
Comments
Post a Comment