Kadogo

Venye yeye ni mfupi unaeza muita kadogo
Ni mclassic Hadi ako na logo
Sauti yake  tamu walai utafall in love akikuimbia.
Mimi huu mwambia
Venye anaimba vitamu na ni mfupi ni proves enough kusema she is short and sweet
But yeye husema ni uongo.

We are not yet a couple
Bado hatujafikia hapo
But alipromise akikaam back tutaendea chapo
Lakini Kwa sai nakula Tu blue ticks na stopper
Si ATI nini..pia Mimi kumdate naogopa
Like birthday yake aki expect gift Mimi ni window Shopper.
Au anaeza ulizaa
Nipeleke out zile za pizza na Kwa mama mboga nimekosa.

Bado sijamuingiza box
Juu yeye huthink outside the box
Sijui venye ni akili ni nywele juu zake ziko waxed but ni za farasi si lox
Ningependa kuwa his ox
But naogopa akinitoka pia Mimi nitashika axe
Plus tuko na different folks
Mama yake pia huimba
Mama yangu naye ni wolf amenifunzaa Tu kuwa Simba
Hatujafika uko bado naogopa naeza mpea mimba

Kuekana status hio upuzi, bado....  hatujafanya hio utoto.
But tshaanza kuplania watoto
Alisema just incase tukuwe wachumba
Yeye anaprefer tupate vijana, ndio akuwe na security kibao Kwa Nyumba
Mimi na prefer wasichana na wakuwe na genes Ka ya mama Yao..ofcourse hio ni melody Kwa Nyumba nitakuwa sorted na sauti zao Ka Rhumba

Hatujaenda mbali Sana
Tuko hapo Kwa kona
Hahaha vitenge bado hatujashona
But tnaeza vaa tishirt zinafwanana

Kutembea pamoja bado hatujaanza
But hii ni poetry na hii ndio mwisho wa stanza
Lakini huyo dem Nataka akuwe wangu wa kwanza
Ananiua kushinda cancer

@ *Squish-clint*

Comments

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess