Haka katoto

Haka katoto
Ni ka brown skin
Beauty of her kind me never seen
Anatoka ghetto
She say she has seen a lot
Adapted to life that's why ni mu hot
Amejibebea
Her gun is loaded but anaeza kumada na one shot
Moja tamu sana sweet and short

Mtaani vijana wakimspot
Huzabaa...., midomo zao ziki riot
Tuko wote on the run na naogopa wanaezaa boycott
Wakiapisha pia mimi naitisha kwani why not.
every single day kwake nauzaa sera ndio at the end tukipiga kura ni mimi ataniellect
Napromise kumprotect
If she is afraid of heights i will stand tall., for her only i will Erect
Akinipea....... I can't reject.
She is African
Representing the beauty of melanin
Si mtribbal so usiniulize anatoka which clan
Tabia yake na matendo ndio imefanya another plus an earn
Independent lady
Anajua kupeana full lispect to a man
Huomba msamaha tukikosana
Her love to God makes me also sing Osanaa
Nampenda tu sana
Taste yake
Sugary ananifanya nikuwe mu diabetic juu ya kniitia hun
She just want to have fun
She doesn't want money
Enyewe Kama hawa wayuko many
Yeye ni chakula but before that she also put something on the plate
Hatu date
Hii ni ndoto niliota jana
Ata huyo dem bado hatujapatana
@ *Squishy poet*

Comments

Popular posts from this blog

Is it true that love will get you hurt

Azim

Innocent Kinaya with a poem on Depression