Juu ya Doo

Juu ya doo
Na hawa mayengs tnaflow
Ndio naeza raise my voice
Tkiwa na mercy na akina loice 
Remember the code to life ni doo 
So bro come slow 
Hizo kelele na kiherehere
Itabidi Ume sare
Wanakuview nikama unause ndom
Unakaa result ya busted coondom
Let the world know 
Hii generation 
Kila msee asha jua 

Juu ya doo
Tna defrintiate wenye wanashine na wenye wanaglow
Doo ndio inacontrol
Character na role
Mabeste wagani together mtaroll

Kila kitu slay queen 
Wameamua mbaya mbaya
Wanahata haya wameamua 
Mwenye doo ndio driver 
What happened to those 
Ladies who could persevere shida hadi upate doo
Sikuizi wanataka kila kitu more

Juu ya doo
Ndio naeza raise my voice
Juu na endesha hammer
Naeza hammer any chick
Bora nimpeleke kenchick
Mwisho nimpe my dick
Hao wajali atakama wewe nimsick
After a week 
Unamtema unamove next
Unachagua another pick

Juu ya doo
Ndio naeza raise my voice
Ladies munaitwa babies
Sponsor bora ukupige bakora
Atajua kuwa wankuanga wakora
Please cd zii 
Hiyo ndii language utaget
Kwa hii industry
Sikuna p2 
Naililetwa juu ya watu
So nipe mara one too
The rest ni story too

@matadaha

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess