New year resolution
Natake caution, nikiandika new year resolution,
Problems ni kibao ka the other year resolution illiisha bila achievement so nafocus to know the solution
Kabla niandike new resolution wacha nifocus on my failure,
Pirate of my words Mimi ni sailor
Fear ndio imenidistruct, obstruct.
fear of failure imefanya nisipeane my best shot
So success nakaam na raundi hii siogopi kuanguka,
Huyo dem msupaa siogopi kumsukaa,
Nadai kupanda na siogopi kushukaa,
Negative vybes naziepuka.
Walai hii mwaka
Nahakikisha kamenuka.
And so if living means doing what you love, so be it
Am not afraid anymore to do it.
Am not afraid of failing if that's the right road to be great
Siogopi the lost
Life is unpredictable na ninataka kulive to the fullest
Napractice kuwa perfect and am not afraid if i won't be as long as i give out my best
Yenye itabaki, of course God always do the rest.
So resolution na cut of my circle nataka tu kuwa sorrounded by people with the same mission
Watu wako na vision.
Si kwa ubaya but kuna watu kwa life yako sazingine wafai
Kuna vitu unaeza do lakini pia hazifai
Na hii life ni risky naskia ni tricky kutoka huku uhai
Na najuwa si rahisi but daily nataka kuwa better
So wapi show niwashow , design nataka kugain value ata haijalishi ni Nini nitapata.
The harder i work on myself the luckier i get
Man the harder you get the more she get wet.
Does that make you relate,
Or another way the more people hate
The more you get great.
The compliments on how am clean makes me continue being neat.
Ambia jirani hii mwaka fire
Hii mwaka we work on what we deserves and what we desire.
So na work hard on myself ata kama haita pay soon
Najuwa it will make a fortune.
Before my time is up and am gone.
*Squishy Poet*
Comments
Post a Comment