Wajinga Nyinyi 3
#WajingaNyinyi
Si tu ma politician hutuchocha na waahidii
Watu wakuli yao bidii,
Magaidi,.
Sisi pia juu bado huwa tunapeana tano tena
Ahadi za kujenga hospitali zitatuponaa
Vipofu sisi hatujawai onaa
Tulipotezaa all sense juu kudanganywa na kuibiwa ilikuwa so common yenye ilibaki ni sense ya humour
.
Speech ilikuwa joke buda lazima tuunde meme
Ukweli kwa mtandao tuseme
But what is word without action.....buda hatuezi Fanya wenye wako juu ni wanyama wire umeme.
#Wajinga nyinyi ni..
walimu hutusi wanafunzi wajinga
Mkiona wako wachanga
Madem hukula fare
Na mnajuwa hio si fair,
Madem hucheza 90 soccer position sixety nine
Na kubeba ball tu fine
Alafu after kuzaa wanatupa watoi ka shiet
Juu wakuwezaa na kukeep na ujinga wa baba mtoto kubonga shit.
Lakini nyinyi wote ni wajinga juu hio Si fity
Wajinga ni watu wa ocha kufikiria maisha mtaani ni fity
Wangejuwa tu venye watu huku hubity
Wajinga ni wasee hufake it ndio watuchoche wame make it
Buda kunywa jug ya black you made of it.
Aki vijana kwanza Daniel
Wacha kukula rent na kufungiwa nyumba juu ya kukunywa jack Daniel.
Wajinga ni Makarau
Hukushika bila makosa,
na kukuitisha pesa ki madharau
Si mkuwe na huruma angalau.
Utasikia wamekuweka ati ulikuwa manamba na una uniform
Na msee tu zilikuwa zimeshika umetoka form.
Wajinga ni ma Boy
Hutumia madem kama matoy
Baaana safisha white isiende extend ya watu kucommit suicide design ya Aggy na Joy.
*SquishyPoet*
Comments
Post a Comment