Re: Please Don't Comit Suicide

Maisha ilikuwa ngumu
Akaamua aonje sumu
So ameletwa na watu wajuwa uhai wake ni wa muhimu. 

Sleeping on the emergency room
Mother is tensed na mzae amefume
Mbona alikunywaa doom

Doctor ametry his best
But mtoi aliamua his fate
Down six feet
There is where he wants to rest. 

Ooh no 
He is no more 
Depression ilimishikaa na the people wenye walikuwaa wanampenda didn't know

Baadaye tutaonana
Pitisha Salamu kwa Maulana. 

That was the last word 
Of his father
He couldn't say anything further 

Mama
Alishikwaa na kilio ungemuona
Ungemuone Huruma

Mbona kijana uliamua kuenda mapema
Tembea tu na neema

Words zake zilipoisha
Hakupoteza maneno tu Bali maisha

Top headlines wasn't that depression once kill
They even skipped to mention the hospital bill
Which has makes the father have sickness 
Depression and stress

The newsreporter said
A foolish kid
Smoked weed
Got himself killed
Kisa kwingeneko chaa mada
Son dead
Mother, 
On tears and chokes gets murdered. 

@ *Squishypoet*

On Wed, Sep 4, 2019, 4:39 PM farm soko <farmsoko@gmail.com> wrote:
Action
Corruption 
Nairobi River pollution 
Moneyheist Masai mara kuna watu na more ambition
2022 mnikumbuke 
Na pia tukiiba msishutuke. 

Huyu tushamzoea
Content yetu ilishapotea
Kuna wenye wataimba matope na bado watabobea

Wewe ni msanii? 
Si una utani
Nani
Aliyekulaani?

Meme
Wacha zikaam
Unataka kupitisha message Cheza na fan
After all 
Kuna wenye wanacontoll. 

Hii ni mbichi
Funika uchi
Band
Banua
Kijana fulani amekua
Asanta kwa kupumua 
Daily mzidi kumipigiaa dua
Mistari atazipost za kishua
Msupport ka unamjua
Na akionekaniwa ata kusahau
Hio ni kitu sure. 

@ *Squishypoet*

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Am Here For You

Mastering Submersion

Princess