Not yet earning

Not yet earning
Still learning
Yani
Namaanisha,
Am Yearning.....
To be the best
Better from the rest
We die once but live daily and i don't want my living to be of waste
Trying to differentiate between love and lust
Si ata tukipendana tutakosana at last
And everything about us will be at the past
So Take it slow usinipeleke too fast
Juu before everything loyalty comes first
Ata unipige kiss Siko sure ka naezaa kutrust
Na hung
Controller si fity nipe ile ya direction
Director usichoke na Mimi another take one two three Action
We learn from our mistake sijakubali kushindwa rematch tufanye correction
Natakaa kuonyesha venye nimeiva hii game
Ku avoid mabao itabidi tufanye tactical defensing.
So uko right ukisema tutumie protection
Sitaki watu wengi kwa hii boma so tufanye fencing
Nimeaka maskio pamba
Ka unabonga bullshit ni ngumu kukusikia ata ka crowd unawabamba
Nieleze kwa kina ndio nijuwe hio story sambamba
Direct to the point, sema ni nini unachotaka
Wakikunyima hakuna haja ya kuwalamba
Shh
Nakusii
Bonga less action is what we want to see
Take note sazingine Coins
Ni ka chains
So furahia ka hauna,
Jibambe ka uko free.
......
.....
..,.. @ *squishy poet*

Comments

Popular posts from this blog

Is it true that love will get you hurt

Azim

Innocent Kinaya with a poem on Depression